




Swagga Maker is a respected music crew in Mwanza...no doubt abt hili, vijana wamejipanga na kufanya kazi moja matata inayoitwa Skizza Swagga, hiyo imesababishwa na produce mpole j Adean..
Zaid ya haya jamaa wameshapiga video moja matata kupitia kampuni yangu...n guess what?? Na mimi nimo ndani...jionee mwenyewe.
No comments:
Post a Comment